Bwana Pokea Sadaka

Bwana Pokea Sadaka
Performed byOur Lady of Guadalupe
AlbumMisa - Guadalupe
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,364

Bwana Pokea Sadaka Lyrics

  1. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Bwana Mkate na divai twazileta kwako

    { Baba pokea -Bwana pokea sadaka
    Ooh Baba, vyote ni mali yako } *2

  2. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Kazi ya mikono yetu twaileta kwako
  3. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Bwana mazao ya mashamba twayaleta kwako
  4. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Fedha za mifuko yetu twazileta kwako
  5. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Bwana na pia nafsi zetu twazileta kwako
  6. Bwana Pokea sadaka, tukutoleayo
    Vyote tulivyo navyo Baba twavileta kwako