Bwana Upokee
Bwana Upokee Lyrics
- Bwana upokee, Bwana upokee, zawadi twaleta *2
- Mkate na divai, zawadi twaleta
Mazao ya mashamba, zawadi twaleta
Na pia nafsi zetu, zawadi twaleta
Vyote tulivyo navyo, zawadi twaleta
- Furaha na uchungu . . .
Na kiini cha ngano . . .
Na tunda la Mzabibu . . .
Fedha za mifukoni . . .
- Nafaka upokee . . .
Twakutolea vyote . . .
Kwako Baba Muumba . . .
Kwa njia ya Mwokozi. . .
- Katika mfariji . . .
Ipate kugeuzwa. . .
Iweze kutufaa. . .
Pokea twakuomba . . .
- Ingawa ni kidogo . . .
Twakutolea kwa moyo
Baba usikatae . . .
Vipaji vya wanao . . .