Nikupe Nini Bwana
| Nikupe Nini Bwana | |
|---|---|
| Alt Title | Nikupe Nini |
| Performed by | Blessed Joseph Allamano Mshindo Iringa |
| Album | Watu Wamekengeuka |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | A. K. C. Singombe |
| Views | 12,201 |
Nikupe Nini Bwana Lyrics
{ Nikupe Nini Bwana
Nikushukuruje Bwana kwa memayo
Maana siri yangu unaijua Mungu } *2- Umeniumba mimi, ukanipa akila
Ukanipa uwezo, nikufuate wewe
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu - Umeniponya Bwana, wakti wa maradhi
Ukanihurumia nilipotenda dhambi
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu - Umeniepusha Bwana, na viumbe wapotovu
Ukanipa faraja, wakati wa uchungu - Nimeuona wivu, kuona wapotovu
Wanavyokusahau, nawe wawapa nguvu
Wema hauna mipaka Mungu wangu