Nikupe Nini Bwana

Nikupe Nini Bwana
ChoirBlessed Joseph Allamano Mshindo Iringa
AlbumWatu Wamekengeuka
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerA. K. C. Singombe
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyC Major
NotesOpen PDF

Nikupe Nini Bwana Lyrics

{ Nikupe Nini Bwana
Nikushukuruje Bwana kwa memayo
Maana siri yangu unaijua Mungu } *21. Umeniumba mimi, ukanipa akila
Ukanipa uwezo, nikufuate wewe
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu

2. Umeniponya Bwana, wakti wa maradhi
Ukanihurumia nilipotenda dhambi
Nishukuru nifanyeje Mungu wangu

3. Umeniepusha Bwana, na viumbe wapotovu
Ukanipa faraja, wakati wa uchungu


4. Nimeuona wivu, kuona wapotovu
Wanavyokusahau, nawe wawapa nguvu
Wema hauna mipaka Mungu wangu

chakukupendeza

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442