Ee Baba Twakuomba
Ee Baba Twakuomba | |
---|---|
Performed by | Moyo Safi (Unga Ltd) |
Album | Nikupe Nini Mungu Wangu |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | Chris F. Chill |
Views | 7,223 |
Ee Baba Twakuomba Lyrics
Ee Baba twakuomba upokee sadaka yetu tunayoleta
Ee Baba twakuomba upokee vipaji vyetu tunavyoleta
Ee Baba twakuomba, ee Baba upokee
Ee Baba upokee sadaka yetu
Ikupendeze, ikupendeze ikupendeze ee Baba * 2- Mkate na divai ni mazao ya mashamba yetu
Na kazi ya mikono yetu wanadamu, tunakusihi upokee - Kama ulivyo-ipokea sadaka,
Ya Abeli mtumishi wako, tunakusihi upokee