Ee Baba Twaleta Zawadi
Ee Baba Twaleta Zawadi | |
---|---|
![]() | |
Performed by | Sauti Tamu Melodies |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | G. Matui |
Video | Watch on YouTube |
Views | 16,487 |
Ee Baba Twaleta Zawadi Lyrics
{ Ee Baba, twaleta zawadi zetu
Ee Baba, twaomba uzipokee } *2
{ Japo ni kidogo sana ewe Baba
Twakusihi sana Baba uzipokee } *2- Mkate na divai, ewe Baba, twaomba uzipokee
- Na mazao ya mashamba ewe Baba, twaomba uyapokee
- Tunaleta fedha zetu ewe Baba, twaomba uzipokee