Ee Baba Twaleta Zawadi

Ee Baba Twaleta Zawadi
Performed bySauti Tamu Melodies
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerG. Matui
VideoWatch on YouTube
Views13,790

Ee Baba Twaleta Zawadi Lyrics

  1. { Ee Baba, twaleta zawadi zetu
    Ee Baba, twaomba uzipokee } *2
    { Japo ni kidogo sana ewe Baba
    Twakusihi sana Baba uzipokee } *2

  2. Mkate na divai, ewe Baba, twaomba uzipokee
  3. Na mazao ya mashamba ewe Baba, twaomba uyapokee
  4. Tunaleta fedha zetu ewe Baba, twaomba uzipokee