Ee Bwana Mungu Nikupe Nini
| Ee Bwana Mungu Nikupe Nini | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 4,798 |
Ee Bwana Mungu Nikupe Nini Lyrics
Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini?
Nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokea zawadi- Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nakutolea mkate nayo divai, pokea zawadi - Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nakutolea mazao ya mashambani, pokea zawadi - Ee Bwana Mungu na mimi nikupe nini,
Nilivyo navyo ni vyako ee Bwana wangu, pokea zawadi