Ee Bwana Pokea Sadaka

Ee Bwana Pokea Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,037

Ee Bwana Pokea Sadaka Lyrics

  1. Ee Bwana pokea sadaka tunayokutolea leo
    Ee Bwana pokea sadaka tunayokutolea leo

  2. Mkate na divai - Baba upokee
    Ni mazao Yetu - Baba upokee
  3. Zigeuze mwili . . .
    Na damu ya Yesu . . .
  4. Tupokee sisi . . .
    Moyoni twatubu . . .
  5. Sadaka ya leo . . .
    Ikupendeze tu . . .