Ee Bwana pokea sadaka tunayokutolea leo
Ee Bwana pokea sadaka tunayokutolea leo
- Mkate na divai - Baba upokee
Ni mazao Yetu - Baba upokee
- Zigeuze mwili . . .
Na damu ya Yesu . . .
- Tupokee sisi . . .
Moyoni twatubu . . .
- Sadaka ya leo . . .
Ikupendeze tu . . .
|
|
|