Ee Bwana Twakuomba

Ee Bwana Twakuomba
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,835

Ee Bwana Twakuomba Lyrics

  1. Ee Bwana twakuomba, pokea sadaka

  2. Ya divai na ya mkate, nyoyo zetu upokee
  3. Ya matendo na mawazo, nia zetu upokee
  4. Ya Abeli iwe mfano, sadaka hii ipendeze
  5. Mikononi mwake padre, ni sadaka yetu sote
  6. Zigeuze mwili na damu, ya mwanao altareni