Ee Bwana Twakusihi Upokee
| Ee Bwana Twakusihi Upokee | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) | 
| Category | Offertory/Sadaka | 
| Composer | Bernard Kiundi | 
| Views | 5,335 | 
Ee Bwana Twakusihi Upokee Lyrics
- Ee Mungu twakusihi upokee sadaka
 tuletayo mbele zako twakuomba *2
- Mkate na divai ni mazao ya mashamba
 Twayaleta mbele yako twakuomba upokee
- Nafsi zetu twazileta, twakuomba upokee
 Pia Baba zibariki, Baba Mungu zitakase
- Yote hayo twakuomba, ubariki upokee
 Twakuomba Mungu wetu sisi wanao twaomba
 
  
         
                            