Ee Bwana Upokee
Ee Bwana Upokee | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 5,101 |
Ee Bwana Upokee Lyrics
Ee Bwana upokee sadaka zetu
[Twaomba japo] Japo ni kidogo sana
Baba twaomba,
U-zi-i-pokee ee Baba Mungu wetu
Umenitendea mema na ya kupendeza
Mungu Mwenyezi Baba sina cha kukupa
Zaidi ya sala yangu na sadaka yetu ya leo- Pokea sadaka zetu twazileta mbele ya Altare
Twakuomba upokee Bwana
Unifanye kuhimili shida zangu - Ewe Mkristu ndugu aliyokutendea Bwana
Watak'kana ukumbuke leo
Ukatoe shukrani zako kwa Bwana