Hoyahe

Hoyahe
Performed byMuungano Choir
AlbumMisa Lubba
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Composer(traditional)
Views11,180

Hoyahe Lyrics

  1. Hoya hee, hoya hee, na tufurahi siku ya leo *2
    Aleluya, hoyee tulitukuze jina la Bwana *2
    Hoya hee, hoya hee, na tufurahi siku ya leo
    Na tufurahi siku ya leo, na tufurahi siku ya leo
    Tulitukuze jina la Bwana
  2. Hoya hee *2, tuyakumbuke mapenzi ya Yesu
    Aleluya, hoyee aliyoyaleta yeye mwenyewe *2
  3. Hoya hee, hoya hee, mjini mwa Daudi alizaliwa
    Aleluya, hoyee Yesu mwenyewe mwana wa Mungu