Kimya Hiki Kinanishangaza
Kimya Hiki Kinanishangaza | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Tazameni Miujiza (Vol 2) |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 5,517 |
Kimya Hiki Kinanishangaza Lyrics
Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Ni kiumbe gani asiye na shukrani humu ulimwenguni *2
{ Ki-mya kimya, ki-mya kimya,
ki-imya kimya, mimi nashangaa } *2- [ s ] Nami natoa sadaka yangu kwa Bwana,
Naye atapokea, jamani. - [ a ] Japo ni kidogo Bwana ukipokee, mimi naleta
- [ t/b ] Kimya ni cha nini, tuamke wote,
Tupeleke zawadi zetu, kwake Bwana