Mbele Ya Altare Yako
Mbele Ya Altare Yako | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 4,967 |
Mbele Ya Altare Yako Lyrics
Mbele ya altare yako
Mbele ya altare yako twatoa sadaka
Ee Bwana upokee- Mkate na divai - Ee Bwana upokee
Mazao ya mashamba - Ee Bwana upokee - Vyote tulivyonavyo -
Furaha na uchungu - - Fedha za mifukoni -
Na pia nafsi zetu - - Na sala zetu Baba -
Na kazi za mikono - - Na kiini cha ngano -
Yote ni mali yako - Nafaka zetu Baba -
Twakutolea zote - - Kwake Baba Muumba -
Kwa njia ya Mwokozi - - Ingawa ni kidogo -
Twakutolea kwa moyo -