Mbele ya altare yako
Mbele ya altare yako twatoa sadaka
Ee Bwana upokee
- Mkate na divai - Ee Bwana upokee
Mazao ya mashamba - Ee Bwana upokee
- Vyote tulivyonavyo -
Furaha na uchungu -
- Fedha za mifukoni -
Na pia nafsi zetu -
- Na sala zetu Baba -
Na kazi za mikono -
- Na kiini cha ngano -
Yote ni mali yako
- Nafaka zetu Baba -
Twakutolea zote -
- Kwake Baba Muumba -
Kwa njia ya Mwokozi -
- Ingawa ni kidogo -
Twakutolea kwa moyo -
|
|
|