Mfano Huu
| Mfano Huu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 4,023 |
Mfano Huu Lyrics
Mfano huu ni wa nani, ni sura ya Kaisari *2
Basi, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari
Pia, Mpeni naye Mungu yaliyo yake Mungu- Mafarisayo walimwuliza,
Kama ni halali kulipa kodi kwa Kaisari - Lakini Yesu akatambua,
Uovu wao na kujua wanamjaribu - Tutoe zile zake Kaisari,
Pia tumpe Mungu vilivyo vyake Mungu - Mafarisayo walishangaa,
Pia wakamuacha na wakaenda zao