Mkristu Simama
Mkristu Simama | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 14,529 |
Mkristu Simama Lyrics
Mkristu simama ukatoe sadaka
Kutoa ni moyo wala si utajiri- Wiki nzima Bwana amekulinda
Kutoa sadaka zako nenda kamtolee - Shida zako nenda kamtolee
Mapendo yako nenda kamtolee - Vipaji vyako nenda kamtolee
Mazao yako nenda kamtolee - Maisha yako nenda kamtolee
Na nafsi yako nenda kamtolee