Mungu Muumba Twakutolea
Mungu Muumba Twakutolea Lyrics
- { Mungu Muumba twakutolea sadaka safi ee Baba pokea } *2
Sadaka, ee Baba pokea *2
Tunakutolea sadaka safi *2
Sadaka, ee Baba pokea *2
- Mkate huu uwe mfano wa mwili wako ee Baba pokea
- Divai hii iwe ishara ya damu yako ee Baba pokea
- Na fedha zetu za mifukoni twakutolea . . .
- Maisha yetu kwa roho safi twakutolea . . .
- Mazao yetu ya mashambani twakutolea . . .
- Matendo yetu mateso yetu twakutolea . . .
- Furaha yetu uchungu wetu twakutolea . . .
- Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako . . .