Mvua Inarutubisha
Mvua Inarutubisha | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Kidole Juu (Vol 23) |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | B. S. Buhongo |
Views | 26,671 |
Mvua Inarutubisha Lyrics
{ [ b ] Mvua inarutubisha vitu vyote
[ w ] Mvua inarutubisha vitu vyote
he! he! he! he! he! ( vitu vyote )
he! he! he! he! he! vitu vyo-te } *2
[ s/a ] Mimea inastawi kwa kupata mvua
{ Na-si binadamu tunakula na kushiba
Mile-le binadamu tunakula na kushiba
kwa uweza wa Mungu } *2- [ s ] Tunapata mazao mengi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu - Tunapata chakula kingi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu - Tunapumua na kusema kwa uwezo wa Mungu
Tunaimba na kucheza kwa uwezo wa Mungu