Naja Kwako Bwana na Fedha Zangu
| Naja Kwako Bwana na Fedha Zangu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 6,431 |
Naja Kwako Bwana na Fedha Zangu Lyrics
- [ t ] Naja kwako Bwana na fedha zangu chache,
[ t/b ] Japo ni kidogo naomba upokeeNaja, kwako Bwana, naja, kwako Bwana,
Naja kwako Bwana na changu mkononi - Nashika mkate pia nayo divai,
Zao ya mashamba ee Bwana ninaleta - Umenipa vingi ee Bwana nashukuru
Nami narudisha ijapo ni kidogo - Natambua Bwana wewe uliniumba
Nami nashukuru wewe uliniumba