Login | Register

Sauti za Kuimba

Naja Kwako Bwana na Fedha Zangu Lyrics

NAJA KWAKO BWANA NA FEDHA ZANGU

 1. [ t ] Naja kwako Bwana na fedha zangu chache,
  [ t/b ] Japo ni kidogo naomba upokee

  Naja, kwako Bwana, naja, kwako Bwana,
  Naja kwako Bwana na changu mkononi

 2. Nashika mkate pia nayo divai,
  Zao ya mashamba ee Bwana ninaleta
 3. Umenipa vingi ee Bwana nashukuru
  Nami narudisha ijapo ni kidogo
 4. Natambua Bwana wewe uliniumba
  Nami nashukuru wewe uliniumba
Naja Kwako Bwana na Fedha Zangu
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments