Ni Sadaka ya Msalaba

Ni Sadaka ya Msalaba
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,993

Ni Sadaka ya Msalaba Lyrics

  1. Ni sadaka ya msalaba imekwishapokelewa *2

    Unapotoa sadaka yako
    Uitoe kwa moyo wako *2

  2. Ni sadaka ya mkate imekwishapokelewa *2
  3. Ni sadaka ya divai imekwishapokelewa *2
  4. Ni sadaka ya Abeli imekwishapokelewa *2