Ni Zawadi Twaleta
Ni Zawadi Twaleta | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 6,618 |
Ni Zawadi Twaleta Lyrics
- Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni kazi ya mikono yetu
Ni zawadi twaleta kwako ee Bwana
Pokea Baba zawadiNi zawadi tunaleta upokee zawadi *2
Upokee ee Bwana upokee zawadi *2 - Ni mazao twaleta kwa Baba . . .
- Na ni fedha twaleta kwa Baba . . .
- Ni mkate twaleta kwa Baba . . .
- Ni divai twaleta kwa Baba . . .