Nikupe Nini Mungu Wangu

Nikupe Nini Mungu Wangu
Alt TitleCha Kukupendeza
Performed byMoyo Safi (Unga Ltd)
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerT. P. H. Kessy
Views24,280

Nikupe Nini Mungu Wangu Lyrics

  1. { Nikupe nini Mungu wangu
    Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza } *2
    { Cha kukupendeza, cha kukupendeza
    Cha kukupendeza, cha kupendeza, siku hii ya leo } *2

  2. Ninacho kidogo, cha kukupendeza, ewe Mungu wangu
    Nilichoandaa siku hii ya leo, ndicho hiki Bwana
  3. Sadaka ya leo, ni sadaka safi, isiyo na doa
    Twakuomba Bwana twakuomba Bwana upendezwe nayo
  4. Twatoa mkate, twatoa divai, upendezwe nayo
    Fedha nazo Bwana, tunakutolea, upokee Bwana