Nimrudishie Nini Bwana
Nimrudishie Nini Bwana | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 12,056 |
Nimrudishie Nini Bwana Lyrics
[ s ] Nimrudishie nini Bwana,
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Nitamlipa nini,
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Niimbe mimi vipi
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Mimi jamaa
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu- [ s ] Nashindwa nikulipe nini kwa mema yako
Kunilinda na maadui wote nitakupa nini Bwana - Miezi miaka umenilinda Mungu wangu
Wangapi wamezikwa leo hii mimi bado niko hai - Ninakuomba unipe akili na maarifa
Nizishinde nguvu na mamlaka ya wakuu wa giza