Nimrudishie Nini Bwana

Nimrudishie Nini Bwana
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyB Flat Major

Nimrudishie Nini Bwana Lyrics


[ s ] Nimrudishie nini Bwana,
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Nitamlipa nini,
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Niimbe mimi vipi
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
[ s ] Mimi jamaa
[ w ] Kwa ukarimu wake alionitendea
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu
Sasa nimrudishie nini Mwokozi wangu


1. [ s ] Nashindwa nikulipe nini kwa mema yako
Kunilinda na maadui wote nitakupa nini Bwana

2. Miezi miaka umenilinda Mungu wangu
Wangapi wamezikwa leo hii mimi bado niko hai

3. Ninakuomba unipe akili na maarifa
Nizishinde nguvu na mamlaka ya wakuu wa giza

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442