Nitakwenda Mimi Mwenyewe

Nitakwenda Mimi Mwenyewe
Performed bySauti Tamu Melodies
AlbumZilipendwa
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerI. Myaga
VideoWatch on YouTube
Views38,296

Nitakwenda Mimi Mwenyewe Lyrics

 1. Nitakwenda mimi mwenyewe, nikatoe sadaka kwa Bwana
  { Aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi
  Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu
  Kwa kuniumba hadi nikapendeza } *2

 2. Kaniumba kwa mfano wake, kuliko viumbe vingine
  Na sasa nikatoe shukrani
 3. Vyote nilivyo navyo ni vyake, nimrudishie kwa mapendo,
  Na sasa nikatoe shukrani
 4. Mema mengi amenijalia, ya mbinguni na duniani
  Na sasa nikatoe shukrani
 5. (Siku zote wanilinda vyema, wanitunza na kunijali
  Na sasa nikatoe shukrani)