Njoo Malaika
Njoo Malaika | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 5,982 |
Njoo Malaika Lyrics
Njoo malaika uchukue sadaka
Upeleke mbele ya altare ya Mungu njoo njoo- Njoo malaika toka mbinguni
Upeleke sadaka mbele ya Bwana, njoo njoo - Shuka malaika toka mbinguni
Upeleke sadaka mbele ya Mungu, njoo njoo - Hayo Ndiyo mazao ya nchi yetu
Ni kazi yetu ya wanadamu njoo njoo - Tunakutolea vipaji vyetu
Bwana upokee, twakutolea, njoo njoo