Pokea Bwana

Pokea Bwana
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,654

Pokea Bwana Lyrics

  1. Furaha mateso yetu
    Bwana tunakutolea mikononi mwako-
    Pokea sadaka ewe Bwana wetu tunayokutolea leo

    [t:] Pokea Bwana *2, Ee Bwana Pokea *2
    Pokea Bwana ewe Bwana wetu tunayokutolea leo

  2. Mazao ya kazi zetu zote,
    tunakutolea Baba Mungu wetu-
  3. Pokea mkate na divai,
    ndiyo alama ya agano jipya-
  4. Hivi ndio mwili na damu ya Kristu,
    Ndiyo imani ya wakristu-
  5. Atukuzwe Baba na mwana na Roho,
    Mwanzo leo kisha milele-