Sadaka Tunaleta

Sadaka Tunaleta
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views6,687

Sadaka Tunaleta Lyrics

  1. Sadaka tunaleta ewe Mungu pokea
    Sadaka tunaleta Ewe Mungu pokea *2

    Mungu ni sadaka safi japo ni kidogo
    Ewe Mungu Baba uipokee

  2. Dhabihu tunaleta-
  3. Na fedha tunaleta-
  4. Na nyoyo tunaleta-
  5. Mavuno tunaleta-