Sadaka Tunaleta Bwana
Sadaka Tunaleta Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 8,559 |
Sadaka Tunaleta Bwana Lyrics
- Sadaka tunaleta Bwana upokee sadaka
Wanao twakuomba Bwana upokee sadakaEro ero ero ero twaleta vipaji
Ero ero ero ero ee Baba uvipokee - Mazao tunaleta Bwana upokee sadaka
- Mkate tunaleta Bwana upokee sadaka.
- Divai tunaleta Bwana upokee sadaka
- Na fedha tunaleta Bwana upokee sadaka.
- Watoto tunaleta Bwana upokee sadaka