Sadaka Zetu Twazileta
Sadaka Zetu Twazileta | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 5,460 |
Sadaka Zetu Twazileta Lyrics
- Sadaka zetu twazileta, Baba uzipokee *2
Bariki yote mali yako, Baba uzipokee{ (Eeko) Twakutolea, twakutolea
Twakutolea vyote ni mali yako } *2 - Mazao yetu twayaleta . . .
- Mkate wetu twauleta . . .
- Divai yetu twaileta . . .
- Na fedha zetu twazileta . . .