Sasa Ndio Wakati
Sasa Ndio Wakati | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 12,359 |
Sasa Ndio Wakati Lyrics
- Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka
Kila mtu aanze kujifikiriaZilete zilete, zilete kwa Bwana
Zilete zilete zilete kwa Bwana - Tolea moyo wako, pia matendo yako
Naye Bwana Mungu wangu, atakubariki - Wiki nzima Bwana Mungu, amekulinda vyema
Sasa nawe ndugu yangu, ujifikirie - Kumbuka jinsi Yesu, alivyojitolea
Pale msalabani, kwa ajili yako - Baraka zake Mungu, za Baba na za Mwana
Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote