Tazama Bwana Tunakuja

Tazama Bwana Tunakuja
Performed bySauti Tamu Melodies
AlbumZilipendwa
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerD. Kalolela
VideoWatch on YouTube
Views27,345

Tazama Bwana Tunakuja Lyrics

  1. { Tazama, Bwana tunakuja kwako (leo)
    Twaleta sadaka yetu mbele yako
    Tunakuomba Mungu Baba pokea } *2

  2. Kwa nguvu zako uliweza kustawisha
    Mazao bora, na sasa twakutolea
    Mashamba uliyarutubisha kwa
    Mvua nzuri mazao kwa wingi yakasitawi
  3. Bahari mito na maziwa Bwana ukajaza
    Samaki wengi wa kupendeza
    Angani ndege wengi wanarukaruka
    kushangilia neema yako ee Bwana
  4. Wanyama maporini wanarukaruka
    Kushangilia neema yako ee Bwana
    Wadudu nao wakachecheza kuonyesha
    Furaha kubwa waliyo nayo