Toeni Sadaka
| Toeni Sadaka | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 14,562 |
Toeni Sadaka Lyrics
Toeni sadaka toeni sadaka
Toeni sadaka kwa upendo wa Mungu toa- Ulicho nacho - kwa upendo wa Mungu toa
- Kiini cha ngano - kwa upendo wa Mungu toa
- Na nyumba yako - kwa upendo wa Mungu toa