Toeni Toeni Sadaka

Toeni Toeni Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views5,544

Toeni Toeni Sadaka Lyrics

  1. Toeni - toeni sadaka *2 kwa Bwana

  2. Pokea vipaji ee Bwana,
    Sadaka mkate twakupa
  3. Pokea vipaji ee Bwana,
    Sadaka divai twakupa
  4. Nyoyo zetu pia ee Bwana,
    Twakupa tena pokea
  5. Pesa zetu zawadi twakupa,
    Shukrani twasema ee Bwana
  6. Roho mtakatifu njoo karibu,
    Sadaka nazo upokee