Toeni Toeni Sadaka Lyrics

TOENI TOENI SADAKA

Toeni - toeni sadaka *2 kwa Bwana

 1. Pokea vipaji ee Bwana,
  Sadaka mkate twakupa
 2. Pokea vipaji ee Bwana,
  Sadaka divai twakupa
 3. Nyoyo zetu pia ee Bwana,
  Twakupa tena pokea
 4. Pesa zetu zawadi twakupa,
  Shukrani twasema ee Bwana
 5. Roho mtakatifu njoo karibu,
  Sadaka nazo upokee
Toeni Toeni Sadaka
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments