Tumtolee Sadaka

Tumtolee Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views6,220

Tumtolee Sadaka Lyrics

  1. Tumtolee sadaka, tutoe kwa upendo
    Tumtolee sadaka, Mungu baba atabariki

  2. Wazee wakitoa, vijana wakitoa,
    Watoto wakitoa, Mungu Baba atabariki
  3. Wababa wakitoa, wamama wakitoa,
    Sisi sote tukitoa, Mungu Baba atabariki
  4. Mavuno tukitoa, mifugo tukitoa,
    Na fedha tukitoa, Mungu Baba atabariki.