Tutoe Sadaka
Tutoe Sadaka | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Viuzeni Mlivyo Navyo |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | F. Mawimbi |
Tutoe Sadaka Lyrics
Tutoe sadaka,
kwa Mungu Baba aliyeumba ulimwengu mzima
Tukumbuke kwamba,
ndiye aliyetupa uzima tutoe sadaka *2
-
Tutoe kwa moyo mwema tukampe Bwana
Na kwa ukarimu mwema tutoe kwa moyo -
Nazo fedha zako nenda ukampe Bwana
Ndugu usisite nenda ukampe Bwana -
Chochote ulicho nacho ndugu ukatoe
Yeye ni Muumba wetu ndugu ukatoe