Twaileta Sadaka
Twaileta Sadaka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 4,714 |
Twaileta Sadaka Lyrics
Twaileta Sadaka *3 Twaomba pokea Bwana *2
(Leba mwenu twaijaji)Twaija na matuma kiazi *2- Mazao ya mashambani na fedha za mifukoni
Twazileta Baba twaomba pokea Bwana - Na kazi tunazofanya twaomba zikupendeze
Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwana - Pia na shida zetu zisiwe kelele kwako
Tunakusihi Baba twaomba pokea Bwana - Na nyimbo tunazoimba twaomba zikupendeze
Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwana