Twaja Mbele Yako
| Twaja Mbele Yako | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 5,131 |
Twaja Mbele Yako Lyrics
Twaja mbele yako na zawadi *2
Bwana pokea, Bwana pokea,
Twaja mbele yako na zawadi- Pokea mkate na divai *2
Bwana pokea, Bwana pokea,
Pokea mkate na divai - Nazo nyoyo zetu upokee *2
Bwana pokea, Bwana pokea,
Nazo nyoyo zetu upokee