Twaja Mbele Zako
Twaja Mbele Zako | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 7,067 |
Twaja Mbele Zako Lyrics
Twaja mbele zako
Ee Bwana na sadaka zetu twaleta
Tunakutolea, twakuomba upokee- Tunakutolea sadaka yetu
Ee Bwana twakuomba upokee - Kwa moyo safi twakutolea
Twakuomba upokee ee Bwana - Mkate na divai twakupa
Twakupa kwa moyo wa mapendo - Mazao yetu uyapokee
Pokea ni jasho letu Bwana - Na nyoyo zetu pia twatoa
Twaomba utujaze neema