Twaleta Sadaka
Twaleta Sadaka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 3,951 |
Twaleta Sadaka Lyrics
- Twaleta sadaka ni sadaka aa ni sadaka
Mungu Muumba [io] Baba Mwenyezi
Utupe nguvu [io] za kumshinda
Mwovu Shetani-hiyo uu hiyo - Twaleta mazao ni mazao aa ni mazao
- Twaleta mkate ni mkate aa ni mkate
- Twaleta divai ni divai aa ni divai