Twaleta Sadaka Zetu

Twaleta Sadaka Zetu
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views5,984

Twaleta Sadaka Zetu Lyrics

  1. Twaleta sadaka zetu - e Baba pokea
    Jasho la mikono yetu twaomba uzipokee *2

    Mbele ya altare yake, twaleta na nyoyo zetu
    Kwa huruma yako Baba, twaomba ututakase

  2. Twaleta mazao yetu - e Baba pokea -
  3. Twaleta mkate wetu - e Baba pokea-
  4. Twaleta divai yetu - e Baba pokea-