Twaleta Vipaji

Twaleta Vipaji
Performed bySt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,229

Twaleta Vipaji Lyrics

  1. Twaleta vipaji – Bwana Mungu pokea
    Japo ni kidogo - Twaomba baba pokea

  2. Twaleta mkate –
    Na divai yetu-
    Na mazao yetu-
  3. Nazo fedha zetu-
    Nayo miili yetu
    Nazo nguvu zetu-
  4. Kazi ya mikono-
    Shida zetu zote-
    Na taabu zetu-
  5. Na mwenendo wetu
    Nazo nyoyo zetu
    Pia nafsi zetu