Twende Sote Kwa Bwana

Twende Sote Kwa Bwana
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,935

Twende Sote Kwa Bwana Lyrics

  1. Twende sote kwa Bwana tumtolee sadaka
    Twende sote kwa Bwana tumtolee sadaka

  2. Ndiye Mungu wetu -
    Aliyetuumba -
    Mungu Muumba vyote -
    Twende sote kwa Bwana, tukamwimbie Mungu
    Tukamwimbie Mungu, tukamwimbie Bwana
  3. Yeye ni ngao yetu-
    Mwenye nguvu zote-
    Ndiye mwamba wetu-
  4. Mungu wa amani-
    Mwenye utukufu-
    Mungu wa milele-
  5. Mungu Baba Yetu-
    Mwenye ahadi nyingi-
    Baba yetu mwema-
  6. Mungu wa hekima-
    Mwenye kututunza -
    Mungu mwenye enzi -
  7. Mungu mtakatifu-
    Mungu mtukufu-
    Mungu mtawala-