Twende Wote Tukatoe
Twende Wote Tukatoe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 23,610 |
Twende Wote Tukatoe Lyrics
{ Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana, twendeni
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana } *2
{ Twende, twende tukatoe *2
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana } *2- Tukatoe mkate, kiini cha ngano,
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana - Tukatoe divai tunda la mzabibu,
- Tukatoe mazao ya mashamba yetu,
- Nayo maisha yetu anayatakasa,
- Navyo tulivyo navyo ndiye atupaye,