Twende Wote Tukatoe
Twende Wote Tukatoe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 9,414 |
Twende Wote Tukatoe Lyrics
[b] Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana
( twendeni)
[w] Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana *2
[t] Twende- [w] Twende tukatoe *2
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana- Tukatoe mkate, kiini cha ngano,
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana - Tukatoe divai tunda la mzabibu,
- Tukatoe mazao ya mashamba yetu,
- Nayo maisha yetu anayatakasa,
- Navyo tulivyo navyo ndiye atupaye,